"ili kuhakikisha nchi yetu inaendelea kusimamia utawala wa sheria unaozingatia misingi ya utawala bora na haki za binadamu. Serikali imefanya marekebisho ya sheria mbalimbali kwa lengo la kuinua ustawi wa wananchi"
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa wakati akiwasilisha hotuba yake kuhusu mapitio na kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya Bunge kwa mwaka 2025/2026
Aidha Waziri Mkuu amemaliza kuwa Katika mwaka 2024/2025, Sheria 19, Kanuni 65, Amri 116, Notisi 313, Sheria Ndogo za Mamlaka za Serikali za Mitaa 76, Matamko mawili na Hati Idhini moja zilitungwa na kufanyiwa marekebisho. Vilevile, Serikali imekamilisha maandalizi ya Sheria Ndogo Kifani 40 ili kuziongoza Wizara, Taasisi na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika uandaaji wa Sheria Ndogo.
Post A Comment: