Hayo yameelezwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashari ya Wilaya ya Msalala Bi. Rose Robert Manumba alipofanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali inayoendelea kwenye halmashari hiyo akiwa ameambatana na wataalam mbalimbali.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na ukamilishaji wa jengo la utawala la shule ya sekondari Mwakata na zahanati ya Maguhumwa  kata ya Mwakata na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa shule ya msingi minere iliyopo kata ya segese pamoja na mradi wa kikundi cha unenepeshaji wa ng’ombe kilichopo kijiji cha karagwa kata ya Ntobo.

Aidha Bi Manumba amewapongeza kwa hatua iliyofikiwa na kuwataka wakamilishe miradi hiyo  kwa wakati ili iweze kutoa huduma kwa wananchi kama ilivyokusudiwa pia amewataka kuitunza miradi hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu.









Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post A Comment: