Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwasili katika Kijiji cha Migungani Wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa ajili ya kushiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga. Ibada hiyo inafanyika leo Aprili 16, 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisaini kitabu cha maombilezo katika Msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga. Ibada hiyo inafanyika leo Aprili 16, 2025 katika Kijiji cha Migungani Wilaya ya Bunda mkoani MaraNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ndugu Fadhil Maganya mara baada ya kuwasili katika Kijiji cha Migungani Wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga. Aprili 16, 2025

Watumishi wa Wizara ya Nishati wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga, kabla ya Ibada ya Mazishi iliyofanyika leo Aprili 16, 2025 katika Kijiji cha Migungani Wilaya ya Bunda mkoani Mara    
  

Share To:

Post A Comment: