TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “TUNAAMINI KATIKA WEWE” wamekuwa wakigawa mahitaji/vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wenye uhitaji maalumu kwa kuhakikisha mtoto hakosi shule mwaka mzima kwa sababu ya kutokuwa na mahitaji ya shule (Sare za shule, madaftari, Begi, viatu n.k)......


Mradi huu wa “Tunaamini katika wewe” unao  dhaminiwa na Kampuni ya Reliance Insurance kwa taktibani miaka mitatu sasa, umeogeza ufaulu wa watoto mashule na kupunguza utoro mashuleni 

Zoezi hili la ugawaji wa mahitaji ya shule ulienda sambamba na Bonanza la Michezo lilijumuisha shule za msingi na Sekondari zilizopo katika kata ya Miono lililokuwa na dhumuni la kuwaleta watoto pamoja ili kuweza kutambuana na kushirikiana kwenye masomo ili kukuza ufaulu mashuleni

Imetolewa

Afisa Habari

Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: