Jina langu ni Fatma kutokea Tanga, nimekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, hakika naweza kusema mimi ni miongoni mwa wanawake ambao wamefaidi matunda ya ndoa vilivyo, sijawahi kukumbana na kadhia yoyote ile.

Watu wengi husema kuwa ndoa ni ngumu na hii ni kutokana na wanaume wengi kutokuwa waaminifu katika ndoa zao kwani baada ya kipindi fulani huanza kutafuta wanawake wengine wa nje kwa madai ya kubadilisha ladha maana huwezi kula chakula kile kile kila siku.

Hata hivyo, kuna baadhi ya wanawake nao wamekuwa na tabia hiyo tena kwa sana ila wamekuwa wakifanya kwa siri kubwa kiasi ni vigumu kwa waume zao kuwabaini kwa wepesi.

Kipindi naolewa Mama yangu aliniambia kuwa mimi ndio mwenye wajibu wa kuilinda ndoa yangu kuliko mtu yeyote yule, nina wajibu kuliko hata mume wangu mwenyewe.

Nilimuuliza mama kivipi?, ndipo akaniambia mume anahitaji kuchungwa kama mtoto mdogo maana huko nje vishawishi ni vingi kutoka kwa wanawake mbalimbali.

Basi nilikaa nikitafakari ushauri wa mibi yangu ambaye ameishi na mume wake ambaye ni Baba yangu kwa miaka zaidi ya 25 kwenye ndoa, niliona ni ushauri wa maana sana kwangu.

Nilirejea kwa Mama na kumuuliza ni njia zipi naweza kuilinda ndoa yangu, ndipo akaniambia kuwa mwanaume kwa kawaida anahitaji kufungwa kwa dawa za mitishamba ambazo zinatolewa na waganga ambao ni waaminifu na wabobezi wa kazi hiyo.

Nilimuuliza Mama sasa anawezaje kumpata mtu mwaminifu wa kunifanyia hivyo?, ndipo akanitajia jina la Kiwanga Doctors na kuniambia amewaunganisha watu wengi naye na kila mmoja amekuwa akija kwake na kumueleza kuwa Kiwanga amekuwa msaada mkubwa kwao.

“Mwanangu nakuambia kuwa hapa Kiwanga Doctors ndoa yako itakuwa salama kabisa, hakuna mtu ambaye amewahi kwenda kwake na akarudi na shida au matatizo yake, hicho ni kitu ambacho nakuhakikishia kwa asilimia 100,” alisema Mama.

Mama alichukua simu yake na kunitajia namba ya Kiwanga Doctors, niliisevu kwenye simu yangu na kesho yake niliamua kumpigia, alipokea nilimuuleza shida yangu ni kwamba nahitaji kumfunga mume wangu asichepuke kamwe!.

Nakumbuka Kiwanga Doctors alinisikiliza, aliniambia baada ya siku tatu dawa itaanza kufanya kazi na kuanzia hapo hakuna hata siku mmoja mume wangu atachepuka katika ndoa yetu.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

Share To:

Post A Comment: