Wananchi wa kata ya Mandwanga Halmashauri ya Mtama wakipata elimu ya msaada wa kisheria ya kampeni ya Mama Samia leo Februari 25,2025.

Mtoa msaada wa kisheria wa Mama Samia (Legal Aid Campein)Wakili Jenifer Kivuyo akitoa elimu ya urithi,kuandika wosia pamoja na migogoro ya ardhi kwa wananchi wa Malungo Kata ya Mandwanga Halmashauri ya Mtama leo Februari 25,2025.
Wakili Kivuyo amesema kuwa kampeni ya msaada wa kisheria itawasaidia wananchi ambao hawana uwezo wa fedha wa kufikia wanasheria ,
"Hii kampeni imekuja kwaajili ta kuwasaidia wananchi wote
ambapo hawana uwezo wa kifedha,kwaajili ya kutatua migogoro ya ardhi ,familia pamoja na uwandikiaji wa wosia."amesema Wakili Kivuyo
Post A Comment: