Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprica Mahundi (Mb) ameongoza zoezi la uzinduzi wa Mwongozo wa Upelelezi na Uendeshaji wa Mashauri ya Makosa ya Kimtandao Februari 13,2025 uzinduzi  uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu jijini Dodoma.

Mkutano huo umejumuisha Taasisi mbalimbali za Umma lengo ni kukomesha makosa ya kimtandao yaliyokithiri nchini na kuleta athari za kiuchumi kwenye jamii.







Share To:

Post A Comment: