Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Kanda ya Mashariki kupitia ofisi ya Mhifadhi misitu (W) Mkuranga kwa kushirikiana na wakazi wa kijiji cha Marenda, Wilaya ya Mkulanga, mkoani Pwani, iki ni mojawapo ya utekelezaji wa maelekezo ya Baraza la Mawaziri (8) wa Kisekta.
Tumehakiki mipaka ya Hifadhi ya msitu wa Mkerezange ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usimamizi wa Hifadhi na kupunguz migogoro ya matumizi ya ardhi kwa maeneo yanayopakana na Hifadhia
Kwa mujibu wa Mhifadhi Mkuu lErick Mgaya, zoezi la kuhakiki mipaka ya Hifadhi ya Msitu wa Mkerezange limefanikiwa kwa kiwango kikubwa, likihusisha ushirikiano wa ngazi mbalimbali, kuanzia ofisi ya Mkurugenzi Wilaya ya Mkuranga, Kijiji cha Marenda, pamoja na wataalamu kutoka Ofisi ya Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Pwani.
"Tumeshirikiana na viongozi wa maeneo husika na wataalamu kuhakikisha kuwa mipaka ya Hifadhi ya Msitu wa Mkerezange imehakikiwa kwa usahihi kwa kutumia vifaa vya kisasa (RTK GPS).
Zoezi hili limehusisha uwekaji wa beacon za aridhi 15
Post A Comment: