Nikiri kuwa katika maisha yangu sikuwa mwaminifu katika suala zima la mahusiano ya kimapenzi, nilikuwa na wapenzi zaidi ya watatu kwa wakati mmoja, hiyo yote ni kutokana na tamaa zangu za kimwili ambazo naweza kusema hapo baadaye zimekuwa kunigharimu sana.
Jina langu ni Moni, mara baada ya kupata kazi na kuanza kuisha maisha ya kijitegemea, niliishi kwa kujiachia sana maana kwa wazazi wangu nilikuwa nabanwa sana.
Baba alikuwa akitaka kila mtu katika familia kurejea nyumbani kabla ya saa moja usiku na ni marufuku kulala nje.
Utaratibu huo ulikuwa unanikera sana maana rafiki zangu walikuwa wanatoka usiku na kwenda sehemu mbalimbali za starahe lakini mimi nilikuwa nabaki nyumbani.
Nilijiapiza siku nikipata kazi ni lazima nihame nyumbani na kwenda kuishi maisha ya kujitegemea ili niwe na uhuru zaidi maishani mwangu.
Kama bahati nilikuja kupata kazi kwenye kiwanda cha kuzalisha vibiriti, kazi hii ilikuwa na mshahara wa wastani lakini kutokana sikuwa na majukumu mengi naweza kusema ulinitosha kabisa.
Baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu niliamua kupanga chumba ili niishi mwenyewe, tayari nilikuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye nilisoma naye, kila mara alikuwa anakuja Ghetto kunitembelea.
Niliona haya ndio maisha ambayo nilikuwa nayahitaji kwa muda mrefu.
Lakini pale kazini kulikuwa na wasichana wengi wazuri kiasi kwamba nilianza kuwatongoza, nilifanikiwa na kuanza kutembea nao, mara nyingi walikuwa wanakuja tu Ghetto kwangu.
Sikujali chochote kile, nilitumia uhuru wangu na fedha zangu jinsi ambayo nilitaka, nilitumia kila mbinu kuweza kuwa na wanawake wengi.
Ghafla nilianza kuumwa sana sehemu za siri, nilipoenda kupima hospitali niliambiwa nimeambukizwa magonjwa ya zinaa, nilipewa dawa na kuanza kutumia lakini sikupona moja kwa moja.
Nilisumbuka na magonjwa hayo hadi kiasi cha kuacha kazi, nilienda hadi kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio yoyote.
Siku moja nikiwa kwenye mitandao ya kijamii niliona kuwa Dr Bokko anatibu magojwa ya zinaa kama vile Kisonono, niliamua kuchukua namba yake na kumpigia na kumueleza tatizo langu.
Nilifika ofisi kwake na kunipatia tiba ambayo naweza kusema ndio imeokoa maisha yangu maana nilikuwa nimekata tamaa.
Kwa sasa nimeamua kuwa mwaminifu katika mahusiano, nipo na mwanamke mmoja pekee ambaye nampenda sana, asante sana kwa Dr Bokko kwa tiba yako iliyoweza kubadili maisha yangu. Piga simu +255618536050.
Post A Comment: