Mbunge wa Jimbo la Nachingwea  Dkt.Amandus Chinguile akiongea na wazee wa baraza la kata ya Mnero Ngongo wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi baada ya uzinduzi wa baraza hilo 
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea  Dkt.Amandus Chinguile akiongea na wazee wa baraza la kata ya Mnero Ngongo wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi baada ya uzinduzi wa baraza hilo 

Na mwandishi wetu, Nachingwea.

Wazee wa kata ya Mnero Ngongo wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wazindua baraza la wazee wa kata hiyo kwa lengo kuendeleza amani, mshikamano na umoja kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa kata hiyo.

Akizungumza wakati uzinduzi wa baraza hilo,Mbunge wa Jimbo la Nachingwea  Dkt.Amandus Chinguile amewaomba wazee baraza hilo kuwa mabalozi katika maeneo wanayoishi kwa kuhubiri Umoja,amani na mshikamano na kutoa malezi bora kwa vijana na jamii.

Dkt.Chinguile ametoa shilingi laki tano (500,000) kwa ajili ya kuchangia mfuko wa baraza la wazee na watumishi kutoka ofisi ya mbunge kwake wamechangia shilingi laki moja na elf (180,000) na kufanya jumla ya shilingi laki 680,000.

Share To:

mwangaza wa hbari

Post A Comment: