Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Lindi,Tecla Ungele ametoa msaada wa sare za shule, daftari, viatu na kalamu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya sekondari ya Angaza na shule ya msingi Mpilipili zilizopo Manispaa ya Lindi.Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Kundi,Tecla Ungele ametoa msaada wa sare za shule, daftari, viatu na kalamu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya sekondari ya Angaza na shule ya msingi Mpilipili zilizopo Manispaa ya Lindi.
Na Fredy Mgunda,Lindi.
Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Kundi,Tecla Ungele ametoa msaada wa sare za shule, daftari, viatu na kalamu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya sekondari ya Angaza na shule ya msingi Mpilipili zilizopo Manispaa ya Lindi.
Akizungumza na waandishi wetu,Mbunge Ungele alisema kuwa ametoa msaada huo kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Dkt Aamua Suluhu Hassan katika kukuza sekta ya elimu hapa nchini.
Ungele alisema kuwa ameamua kuwasaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu kwa kuwa hawana uwezo wa kununua vifaa mbalimbali vya shule hivyo msaada wake kwa kipindi hiki amepeleka kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu ili waweze kupata elimu kama wanafunzi wengine.
Post A Comment: