TRA yashiriki MOI Marathon 2024 kwa lengo la kuchangia matibabu ya magonjwa sugu pamoja na kutoa msukumo kwa watumishi wa Hospitali hiyo kufanya mazoezi ili kujiepusha na magomjwa yasioambukiza .


Katika ushiriki huo TRA ni kutaka kufikisha ujumbe wa kuhamasisha wananchi kutoa na kudai risiti ili kuwezesha serikali kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wake.




Share To:

Post A Comment: