Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete Ametembelea Kituo cha Kulelea Kikombo, Dodoma kilicho chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Katika ziara hiyo pamoja na kuona maendeleo ya kituo pia Waziri Ridhiwani amekabidhi Vyerehani Kwa hisani ya WCF kwa ajili ya kujifunza kazi za kushona.
Post A Comment: