Mwaka 2008 nilifunga ndoa na mume wangu Jerry, tayari
tumejaliwa kupata watoto nne ambao ni watatu wa kiume na mmoja wa kike ambaye
ni wa pili kuzaliwa.
Kipindi tulipooana maisha yalikuwa yametaliwa na upendo mwingi,
sikudhani kama kuna kitu au jambo ambalo linaweza kuja kutogombanisha na mume
wangu kwa jinsi ambavyo tulipendana.
Jina langu ni Anande, ninafanya kazi ya saloni, mume wangu ni
mfanyabiashara maarufu hapa jijini Mwanza, kila mmoja amekuwa akifanya shughuli
zake kwa bidii kwa lengo la kuwatunza watoto wetu.
Mara kwa mara mama yake mume wangu, yaani mama mkwe alikuwa
anakuja kututembelea kwa lengo la kuja kuwasalimia wajukuu zake, nilimkaribisha
kwa upendo wa hali ya juu kwani wageni ni baraka ndani ya familia.
Tatizo lilikuja pale ambapo kila mume wangu alikuwa
anamsikiliza sana mama yake na kunipuuza mimi, mama yake ndio alikuwa anaamua
sisi tuishi maisha ya namna gani.
Ikiwa mume wangu anataka
kufanya jambo fulani, mtu wa kwanza kumshirikisha ni mama yake na sio mimi mke
wake.
Jambo lilonikera ni pale ambapo nilisikia maneno mtaani kuwa
mume wangu kuna kiwanja amekinunua sehemu wakati mimi mkewe hajaniambia
chochote.
Niliamua kukaa kimya na kumpa muda ili nione kama ipo siku
ataniambia chochote, lakini zilipita wiki tatu hajasema chochote.
Hatimaye niliamua kuvunja ukimya na kumuuliza ni kwanini
kanunua kiwanja bila kunishirikisha, jibu alilonipa kamwe siwezi kuja kulisahau
maisha mwangu.
Alisema mama yake ndiye aliyeamua na kushauri anunue kiwanja
eneo lile na asingeweza kumkatalia hata kidogo, nilimuuliza mbona
hukunishirikisha hata kwa kidogo?, ina maana wewe unamsikiliza tu mama yako?.
Tabia hiyo iliendelea hadi ikafikia hatua nikaenda kugombana na
mama mkwe kuwa aache kutupangia maisha, mume wangu aliposikia nimegombana na
mama yake alikuja nyumbani akanigombeza sana.
Siku hiyo akaondoka akaenda kulala nyumbani kwao maana sio
mbali na tunapoishi.
Alikaa huko kama wiki moja bila hata kunipigia simu, nilienda
kwa rafiki yangu, Kambise na kumueleza kuwa mume amekimbia nyumbani kisa
anamsikiliza sana mama yake.
Kambise aliniambia tatizo hilo lilishawahi kuikumba ndoa yake
ambapo mume wake alikuwa hamsikilizi kabisa zaidi ya kusikiliza watu wengine
huko nje, alizidi kuniambia yeye alipata dawa ya hilo kwa Dr. Kiwanga ambaye
anaweza kumfanya mtu akusikilize wewe tu na kufanya kile unachosema.
Aliamua kunipa namba za Kiwanga Doctors ambazo ni +255763926750
au +254769404965, nilimpigia na kuzungumza naye kwa mapana, hatimaye
alinihakikishia kuwa ndani ya siku tatu mume wangu atakuwa amerejea nyumbani na
atakuwa ananisikiliza mimi tu na sio mtu mwingie.
Siku ya pili yake mume wangu alirejea nyumbani akiwa mpole na
kuniuliza maendeleo ya watoto, nilimtengea maji akaenda kuoga, alivyorudi
nikampatia chakula.
Usiku tukiwa kitandani aliniambia ameona mama yake anamshuari
vibaya na tangia siku hiyo atakuwa ananisikiliza mimi tu kama mke wake.
Napoongea sasa huu ni mwaka wa pili mume wangu ananisikiliza
mimi tu hadi ndugu zake wanasema nimempa limbwata, wengine wanasema nimemshika
akili, lakini bila hivyo hakika ndoa yangu tayari ingekuwa ishavunjika.
Kumbuka Kiwanga Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.
Post A Comment: