Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) julai 16, 2024 ametembelea ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zilizoko Jijini Dar es salaam lengo ni kujionea majukumu yanayotekelezwa na Mamlaka hiyo pia namna inanavyoshughulikia masuala ya habari na mawasiliano yaliyo chini ya dhamana yao.








Share To:

Post A Comment: