Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewaomba Viongozi na Watendaji wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mikoa na Wilaya zote nchi nzima kuhamasisha ushiriki wa Vijana kikamilifu katika uandikishaji katika Daftari la kudumu la wapiga kura linazotazamiwa kufungiliwa tarehe 20 Julai, 2024 Mkoani Kigoma.

"Sisi viongozi lazima tuwe mstari wa mbele katika Uhamasishaji wa Vijana kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, twendeni tukawape hamasa ya kutosha vijana kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura na kushiriki kikamilifu katika chaguzi zote"






Share To:

Post A Comment: