Naitwa Mama Jimmy, mimi na mume wangu tulianza kugombana pindi
nilipojifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa na furaha
kama ambavyo ilikuwa kwa watoto wetu wa mwanzo.
Unajua hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi
baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani
ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto.
Binafsi nilishindwa kuelewa nini tatizo, mwanzo nilihisi labda
kuna mambo ya kazini yanamsumbua lakini nijakaja kugundua sio kweli mara baada
ya kuambiwa na moja ya marafiki zangu kuwa mume wangu amesema mtoto huyo sio
damu yake.
Hali hiyo iliniumiza sana kiasi ambacho nilianza kulia machozi,
kama ni hivyo kwanini asingeongea na mimi kwanza, kwanini akanitangaze huko
nje.
Aliporejea nyumbani sikutaka hata salamu yake, hapo hapo
nilimuuliza kuhusu jambo hilo na akasema ameongea ukweli kabisa.
Siwezi kusahau, ugomvi ulikuwa mkubwa kiasi hadi majirani
waliingilia kati, nilikuwa mwenye hasira maana jambo hilo nilikua sio la kweli,
hadi wazazi waliingilia kati lakini hakuna suluhu iliyopatikana.
Mwisho wa siku ukoo uliamua kila mmoja alale chumba chake maana
hatuwezi kutengana tukiwa tayari tuna watoto wengine.
Licha ya kulala kila mtu chumba chake, bado migogoro ndani
haikuisha, mume wangu alionekana kumtenga sana huyu mtoto wa mwisho kiasi
kwamba roho yangu iliniuma sana.
Mgogoro huu uliendelea hadi mtoto huyu anafikisha miaka sita,
ndipo nikachoka nikaamua kwenda kufungua kesi mahakamani.
Mahakama iliamuru Baba na mtoto wakapimwe DNA, baada ya vipimo
majibu yalionyesha mume wangu ni Baba halali kabisa wa mtoto huyu anayesema sio
wake.
Hata hivyo, mume wangu hakuridhika na majibu hayo na kusema si
ya kweli jambo ambalo sikutegemea, nilidhani baada ya vipimo mambo yatakuwa
shwari.
Siku moja nikiwa ofisini nilichukua gazeti nililolikuta juu ya
meza yangu na kuanza kulipitia, ndipo nilipokutana na Kiwanga Doctors ambaye
naweza kusema ndiye ameiponya ndoa yangu na kurejesha furaha iliyopotea kwa
miaka sita.
Nakumbuka tangazo lake gazetini lilieleza kuwa anaweza
kusuluhisha migogoro ya ndoa ndani ya siku tatu, nilishawishika kuchukua namba yake, niliwasiliana naye na kumueleza
kila kitu ambacho kinanisumbua.
Ukweli ni kwamba kuwa tangu tangu nimewasiliana naye, ugomvi
ndani ya nyumba umeisha kabisa, na mume wangu aliamua kuitisha kikao cha ukoo
na kuomba radhi kwa yote yaliyotokea na kukiri kuwa yule ni mtoto wake halali
kabisa.
Kiwanga Doctors anaweza kukufanya kuwa na bahati maishani mwako, kushinda kesi, kuondoa migogoro ya ardhi na mengineo. Waweza kumpata kupitia wavuti www.kiwangadoctors.com barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au piga simu kwa nambari +255763926750 au +254769404965.
Post A Comment: