Mbunge wa Jimbo la Monduli kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM Fred Lowassa Fred Lowassa amechangisha shilingi Milioni 112 kwenye harambee ya Ujenzi wa Kanisa KKKT, Jimbo la Muheza Tanga.
Aidha mheshimiwa Fredrick Lowassa ameshiriki kwenye ibada iliyoongozwa na Baba Askofu Msafiri Joseph Mbiru wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kwenye Usharika wa Diary, Muheza Tanga.
Pamoja na Misa Takatifu Mheshimiwa LOWASSA alikuwa mwenyekiti wa kamati ya Harambee kwaajili ya ujenzi wa kanisa kubwa kwaajili ya Usharika huo.
Post A Comment: