Na Mwandishi Wetu,HANDENI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance Demokratic Change ADC) Doyo Hassani Doyo ameshiriki katika mkutano wa kuchagua viongozi wa tawi la Kibaya wilayani Handeni Mkoani Tanga huku akiwahaidi wananchi chama hicho kitashirikiana nao katika suala la maendeleo
Doyo aliyasema hayo wakati kabla ya kuanza uchaguzi huoi ambao pia amewahaidi wananchi kuwa wao kama chama watatoa Mifuko 100 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari kibaya endapo mchakato huo ukiwa sawa .
Alisema kwamba wataanza kutoa mifuko 40 kwanza kisha wakati ujenzi ukiendelea watamalizia mifuko 60 iliyobakia lengo likiwa ni kuhakikisha kua sula la maendeleo linafanyika katika eneo hilo .
Hatua hiyo ya ADC kutoa mifuko hiyo ya Saruji ni baada ya wananchi wa eneo hilo kutoa kero juu ya watoto wao kutembea umbali mrefu kwenda shule ya Mzeri na wakatti wa mvua hishindwa kwenye shule kutokana na uchafu wa barabara
Kutokana na uwepo wa changamoto hiyo wananchi hao waliomba kujengwe shule ya Sekondari maeneo ya karibu ambapo Katibu huyo kupitia chama chao wakahaidi kuchangia mifuko 100 ya cement kwaajii ya kusapoti mambo ya kijamii.
ADC KUTOA MIFUKO 100 YA SARUJI KUCHANGIA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance Demokratic Change ADC) Doyo Hassani Doyo ameshiriki katika mkutano wa kuchagua viongozi wa tawi la Kibaya wilayani Handeni Mkoani Tanga huku akiwahaidi wananchi chama hicho kitashirikiana nao katika suala la maendeleo
Doyo aliyasema hayo wakati kabla ya kuanza uchaguzi huoi ambao pia amewahaidi wananchi kuwa wao kama chama watatoa Mifuko 100 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari kibaya endapo mchakato huo ukiwa sawa .
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ELIMU YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA COSTECH
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhishwa na utendaji kazi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) na matumaini yao kuona fedha wanazopatiwa zinafanya kazi iliyokusudiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 20,2024 Jijini Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.
DKT. NCHIMBI: KUKIMBILIA MAANDAMANO NI UOGA WA HOJA, KUKWEPA MAZUNGUMZO
-Asisitiza Watanzania wanatambua CCM ndiyo Chama kiongozi, hakuna haja ya kutukana kusimamia Ilani ya Uchaguzi
-Awataka wanasiasa kutambua watapimwa kwa hoja, sio maandamano
Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt.
MAKONDA AWATUMIA SALAMU WATUMISHI WAZEMBE TANGA
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Paul Makonda amewatumia salamu watumishi wa Serikali wazembe mkoani Tanga wasiowajibika kwamba hawatakubali kuwavumilia kwa sababu wao ndio wamekuwa chanzo cha kumchonganisha Rais na
Post A Comment: