DKT MOLLEL AUNGANA NA WANAMWANGA KUADHIMISHA MIAKA 7 YA DAYOSISI YA MWANGA MSUMBA on November 05, 2023 MATUKIO, Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel na Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Mhe. Abdallah Mwaipaya leo Novemba 5, 2023 wameshiriki katika Ibada ya kuadhimisha miaka Saba ya kuzaliwa kwa Dayosisi ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post MSUMBA View Profile
Post A Comment: