Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Fakii Raphael Lulandala (MNEC),akizungumza na Viongozi wa UVCCM kutoka Mikoa mbalimbali, na Watumishi Makao wa Makao Makuu Upanga Dar es Salaam mara baada ya mapokezi yake leo Oktoba 20,2023/
.............
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Fakii Raphael Lulandala (MNEC) amesema atafanya kwa Ushirikiano na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ngazi zote nchini kwa Maslahi ya Vijana wote.
Komredi Lulandala ameyasema tarehe 20 Oktoba, 2023 alipokua akizungumza na Viongozi k wa UVCCM kutoka Mikoa mbalimbali, na Watumishi Makao wa Makao makuu Upanga Dar es Salaam mara baada ya mapokezi yake.
"Tutafanya kazi ushirikiano na viongozi wa Jumuiya hii kubwa ngazi zote nchini kwa Maslahi ya Vijana wote nchini" Alisema Komredi Lulandala.
Post A Comment: