Hoteli ya Kisasa "Seven Skies Hotel" imefunguliwa Jijini Arusha ikiwa imesheheni huduma mbalimbali ikiwemo malazi ,vyakula, vinywaji.

Seven Skies inapatikana  ndani ya Jengo iliyopo Amana Bank kwenye mitaa ya Sabena karibu Idara ya Maji.

Mawasiliano zaidi piga simu +255 736 663 366




Share To:

Post A Comment: