Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, akizungunza katika uzinduzi Mradi wa Uwekezaji wa Afya ya Mama na Mtoto Tanzania leo tarehe 23.08.2023 huko katika Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar lkatika hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki. Uzinduzi huo umefanyika kwa niaba ya rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Husein Ali Mwinyi. Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akisalimiana na Naibu waziri wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Festus Lugambo na katikati ni Naibu waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Godwin Mole HUKO HOTELI YA Golden Tulip Kiembesamaki mara baada Mhe. Othman kuwasili kwa ajili ya uuzinduzi wa program ya uwekezaji katika afya ya mama na mtoto leo tarehe 23.08.2023. . Uzinduzi huo umefanyika kwa niaba ya rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Husein Ali Mwinyi . Picha na Ofisi ya Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar.
Post A Comment: