Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga wameipongeza na
kuishukuru mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwa kuwakumbusha kuendelea
kuzingatia sheria, kanuni na miongozo inayosimamia sekta ya mawasiliano ya
kielektronik na posta.
Wametoa pongezi hizo leo Jumatano Juni 21,2023 baada
ya kushiriki kwenye semina
iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania TCRA kanda ziwa ambayo imefanyika katika Ukumbi wa Empire Hotel Mjini
Shinyanga.
Waandishi hao wamesema watahakikisha wanaendelea
kusimamia na kuzingatia sheria za vyombo vya habari katika utekelezaji wa
majukumu yao kwa maslahi ya Taifa.
Akizungumza kwenye semina hiyo Meneja
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis
Mihayo amewakumbusha mambo mbalimbali yanayohusiana na mamlaka hiyo.
Mhandisi Mihayo pamoja na mambo
mengine amewataka waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga kuzingatia sheria na
taratibu za Nchi katika utekelezaji wa majukumu yao.
Aidha amewasisitiza kufanya
kazi kwa weledi, kuwa wabunifu ikiwa ni pamoja na kuzingatia sheria na taratibu
za TCRA katika kutoa huduma stahiki
kwenye jamii.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mwanza Press Club Bwana
Edwin Soko ambaye amewezesha mada
inayohusu sheria za uandishi wa habari amewakumbusha waandishi wa habari
Mkoa wa Shinyanga kuepuka kuandika habari za uchochezi na udhalilishaji huku
akisisitiza uzingatiwaji wa maadili na miiko iliyowekwa kwa mujibu
wa sheria hizo.
Semina ya waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga ikiendelea
leo Jumatano Juni 21,2023 ambayo imeratibiwa na Meneja wa TCRA kanda ya ziwa
Mhandisi Francis Mihayo .

Meneja wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza
kwenye semina hiyo leo Junatano Juni 21,2023 katika ukumbi wa Empire Hotel
Mjini Shinyanga.

Mwenyekiti wa Mwanza Press Club Bwana Edwin Soko akizungumza kwenye semina hiyo
leo Junatano Juni 21,2023 katika ukumbi wa Empire Hotel Mjini Shinyanga.

Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akiwa
kwenye picha ya pamoja na waandishi wa habari wa Mkoa wa Shinyanga leo Junatano
Juni 21,2023.

Post A Comment: