Mwanzilishi na Mwenyekiti wa asasi isiyo ya kiserikali, Agri Thamani Foundation Mbunge Mhe.Neema Lugangila akizungumza na wahariri wa Vyombo vya Habari nchini wakati wa Semina ya Wahariri kuhusu kuzungumzia masuala ya ulinzi wa taarifa zetu za Afya. Je, namna gani taarifa za afya zinakusanywa, kuhifadhiwa, kutumiwa na kutupwa?

Meneja wa Utetezi na Kampeni (Transform health) Bi.Beatrice Okech akizungumza katika Semina ya Wahariri kuhusu kuzungumzia masuala ya ulinzi wa taarifa zetu za Afya. Je, namna gani taarifa za afya zinakusanywa, kuhifadhiwa, kutumiwa na kutupwa?.
Meneja wa Taasisi ya Agri Thamani Bi.Mwasiti Kazinja akizungumza katika Semina ya Wahariri kuhusu kuzungumzia masuala ya ulinzi wa taarifa zetu za Afya. Je, namna gani taarifa za afya zinakusanywa, kuhifadhiwa, kutumiwa na kutupwa.
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa asasi isiyo ya kiserikali, Agri Thamani Foundation Mbunge Mhe.Neema Lugangila akiwa kwenye picha ya pamoja na wahariri wa Vyombo vya Habari nchini wakati wa Semina ya Wahariri kuhusu kuzungumzia masuala ya ulinzi wa taarifa zetu za Afya. Je, namna gani taarifa za afya zinakusanywa, kuhifadhiwa, kutumiwa na kutupwa.

Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya habari wakiwa katika semina kuzungumzia masuala ya ulinzi wa taarifa zetu za Afya. Je, namna gani taarifa za afya zinakusanywa, kuhifadhiwa, kutumiwa na kutupwa.
Post A Comment: