Katika kukabiliana na changamoto mbalimbali kwenye sekta ya kilimo, Wizara imefungua ofisi 121 za Wilaya za umwagiliaji na kuajiri wataalam 320 ambao hivi sasa wamepangwa katika wilaya kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao. Vilevile, tarehe 20 Machi 2023, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alizindua na kugawa magari 53 kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za umwagiliaji ikiwemo ukusanyaji wa maduhuli.









Share To:

ELIZA DOM

Post A Comment: