Kiongozi wa Mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa 2023 Abdallah Shaibu Kaim Akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Nunsu mara baada ya kukagua msitu wa asili wa Mafifi.

Wanakikundi kutoka Kijiji cha Nundu wakipokea Mzinga wa nyuki kutoka kwa Mkimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kupanda miti katika msitu wa Asili.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Ndugu Abdallah Shaibu Kaim akikagua madawati katika moja ya madarasa manne yaliyojengwa katika Shule ya Msingi Luponde.
Post A Comment: