MKUU wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee leo Januari 1, 2023 akipanda miti kuashiria uzinduzi wa upandaji mti katika shule zote za Mkoa wa Mara katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii ya Ikizu(ICDT) unaojihusidha na uchombezaji Maendeleo katika nyanja za Elimu, Afya, Kilimo na Utunzaji Mazingira wilayani Bunda. MKUU wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee akikabidhi Mche wa mti mmoja wa wanafunzi waliojitokeza katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti katika shule zote za Mkoa wa Mara katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii ya Ikizu(ICDT) unaojihusidha na uchombezaji Maendeleo katika nyanja za Elimu, Afya, Kilimo na Utunzaji Mazingira wilayani Bunda.
MKUU wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee leo Januari 1, 2023 akikata utepe kuashiria kuzindua zoezi la upandaji miti katika shule zote za Mkoa wa Mara na hasa zile ambazo zimepata madarasa mapya ambapo ameagiza kuwa kila shule itoe umuhinu katika zoezi la upandaji miti. Ametoa maagizo hayo katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Mfuko wa Maendeleo wa Jamii ya Ikizu(ICDT) unaojihusidha na uchombezaji Maendeleo katika nyanja za Elimu, Afya, Kilimo na Utunzaji Mazingira wilayani Bunda.
Post A Comment: