Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akifungua Kongamano la Kodi la Kitaifa katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.
Kongamano hilo la kwanza kuwahí kufanyika nchini limelenga kukusanya maoni mbalimbali kuhusu mfumo wa kodi, ulipaji wa kodi wa hiari na Maboresho ya sera kwa maendeleo ya watu.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Lawrence Mafuru akitoa maelezo ya utangulizi kabla ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la kwanza kuwahí kufanyika nchini ambalo limelenga kukusanya maoni mbalimbali kuhusu mfumo wa kodi, ulipaji wa kodi wa hiari na Maboresho ya sera kwa maendeleo ya watu.
Mbunge wa jimbola Vunjomkoani Kilimanjaro Dkt. Charles Kimei akitoa mchango wake katika Kongamano la kwanza kuwahí kufanyika nchini ambalo limelenga kukusanya maoni mbalimbali kuhusu mfumo wa kodi, ulipaji wa kodi wa hiari na Maboresho ya sera kwa maendeleo ya watu.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akifafanua hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wadau katika Kongamano la Kodi la Kitaifa katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam kulia ni Saada Mkuya Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.
Baadhi ya wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini mada mbalimbali wakati wa Kongamano la kodi la kitaifa la kwanza kuwahí kufanyika nchini lenye lengo la kukusanya maoni mbalimbali kuhusu mfumo wa kodi, ulipaji wa kodi wa hiari na Maboresho ya sera kwa maendeleo ya watu.
Picha ya pamoja.
Post A Comment: