Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu wakipata maelezo kutoka kwa Mshauri Elekezi kutoka Chuo cha Ardhi Bw. Anania Saudeni (kushoto) walipotembelea jengo la ofisi hiyo kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Januari 25, 2023 Mji wa Serikali, Mtumba, Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu wakitazama hatua ya awali ya kuchanganya rangi walipotembelea jengo la ofisi hiyo kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Januari 25, 2023 Mji wa Serikali, Mtumba, Jijini Dodoma.


Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu wakipita katika maeneo mbalimbali wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba, Jijini Dodoma.


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Leonard Mchau (kushoto) kutoka ofisi ya Waziri Mkuu akieleza jambo walipotembelea jengo la ofisi hiyo kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Januari 25, 2023.



Muonekano wa jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu katika hatua mbalimbali za ujenzi unaoendeleo Mji wa Serikali, Mtumba, Jijini Dodoma.


Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu wakiwa kwenye picha ya pamoja katika ofisi hiyo mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo, Januari 25, 2023 Mji wa Serikali, Mtumba, Jijini Dodoma.
Share To:

emmanuel mbatilo

Post A Comment: