Mkaguzi (TBS), Bw. Magesa Mwizarubi akitoa elimu kuhusu usajili wa maduka ya chakula na vipodozi sambamba na bidhaa zilizopigwa marufuku kwa wafanyabiashara wa Puma wilayani Ikungi.
Elimu hiyo pia ilitolewa katika maeneo ya stendi na soko la Ikungi mkoani Singida.Afisa Masoko (TBS) Bi Rhoda Mayugu akitoa elimu ya namna ya kupata alama ya ubora ya TBS kwa Wajasiriamali wadogo wa kata ya Puma Wilayani Ikungi- Singida
TBS inatoa leseni ya kutumia alama wa ubora kwa wajasiriamali wadogo bila gharama yoyote.
Post A Comment: