Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uomja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda akipokea kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zawadi ya picha ya kuchora ya Rais kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma, Neema Majule katika mkutano wa kumpongeza Dkt. Samia kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi wa chama hicho lakini pia kumkaribisha Chatanda.
Mkutano huo uliofanyika Disemba 9, 2022 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa UWT na wanachama wa CCM ambapo pia Chatanda na makamu wake Zainab Shomari walizawadiwa zawadi mbalimbali
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama (kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya Rais kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Taifa, Chatanda.
Makundi mbalimbali yakitoa zawadi kwa Mwenyekiti wa UWT Taifa, Chatanda na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari.
Post A Comment: