Meneja Mipango na Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Gaitani Mrimi akichangia hoja wakati wa mkutano wa 2 wa Baraza hilo uliofanyika leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Baraza la Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasiishwa katika mkutano wa Baraza hilo uliofanyika leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Brighton Mtugani akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa mkutano wa Baraza hilo wakati wa mkutano huo uliofanyika leo leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Neema Kuwite (kulia) akifuatilia mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa HESLB wakati wa mkutano huo uliofanyika leo leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Baraza la Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasiishwa katika mkutano wa Baraza hilo uliofanyika leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Baraza la Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasiishwa katika mkutano wa Baraza hilo uliofanyika leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti (RAAWU), Mecky Kimune akichangia hoja wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa HESLB wakati wa mkutano huo uliofanyika leo leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti (RAAWU), Tawi la HESLB Elisha Daudi akichangia mada wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa HESLB wakati wa mkutano huo uliofanyika leo leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Godfrey Kamugisha akichangia mada wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa HESLB wakati wa mkutano huo uliofanyika leo leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru akizungumza jambo wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa HESLB wakati wa mkutano huo uliofanyika leo leo Ijumaa Septemba 2, 2022 Jijini Dar es Salaam.
(NA MPIGAPICHA WETU)
Post A Comment: