Mtume Boniface
Mwamposa Bulldoza akiendesha maombi
maalum kwa wazazi wa Mbunge wa Kisesa,
Mhe. Luhaga Joelson Mpina, Marehemu Mpina Gabisi Samweli Luchemba na Marehemu
Kephrine Kabula Masaga alipofika katika Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu
Mkoa wa Simiyu Juni 15, 2022. Marehemu Mzee Mpina alifariki Juni 14, 2021 na
Mama alifariki Juni 1, 2022. |
Post A Comment: