Na Mwandishi wetu,Dodoma
MBUNGE wa jimbo la Lupa Mh,Masache Kasaka(katikati) leo ameshiriki hafla fupi ya utiaji saini mikataba ya miradi ya maji ya Miji 28 yenye thamani ya Trilion 1.7 huku wilaya ya Chunya ikiwa inaenda kunufainika na mradi huo mkubwa wa maji.
Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh,Samia Suluhu Hassan .
Post A Comment: