|
Ibada ya kuuombea Mwili wa Marehemu Kephrine Kabula Masaga
mama yake mzazi Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina Kijiji cha Isangijo Wilaya ya Meatu, Simiyu. |
|
Watoto wa Marehemu Kephrine Kabula Masaga wakiweka shada
la maua katika Kaburi la Mama yao |
|
Wadogo wa marehemu wakiweka shada la maua |
|
Wajukuu wa Marehemu Kephrine Kabula Masaga wakiweka shada
la maua |
|
Mbunge wa Jimbo la
Maswa Mashariki, Mhe. Stanslaus Nyongo na Mbunge wa Meatu, Mhe. Leah Komanya
wakiweka shada la maua kwa niaba ya viongozi |
|
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed akiweka
shada la maua kwenye kaburi la mama yake Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina. |
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka akiweka shada la maua
Wawakilishi wa Benki ya NMB Vivina Nkhaa na Waziri
Mchalala wakiweka shada la maua
viongozi wa dini wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake Mbunge Luhaga Mpina, Marehemu Kephrine Kabula Masaga
|
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed akiweka
shada la maua kwenye kaburi la mama yake Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina. | |
Post A Comment: