Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akizungumza na wageni waalikwa alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa wateja wa Akiba Commercial Bank na wafanyabiashara wa jiji la Mwanza ulioitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Silvest Arumasi katika ukumbi wa Mwanza Hotel

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Silvest Arumasi akizungumza na wateja katika mkutano walipokutana hivi karibuni Mkoani Mwanza

 


Wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakifurahia jambo patika mkutano na uongozi wa benki hiyo hive karibuni Jijini Mwanza

 

Wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakifurahia jambo patika mkutano na uongozi wa benki hiyo hive karibuni Jijini Mwanza

Wafanyakazi wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakiwa tayari kuwapokea wateja mbali mbali wa Benki hiyo hivi Runde Jijini Mwanza

 

 

[caption id="attachment_3264" align="alignnone" width="2560"] Meneja wa Tawi la Mwanza Herieth Bujiku akizungumza na wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania mara baada ya kukutana nao hivi karibuni Jijini Mwanza[/caption]

Meneja wa Tawi la Mwanza Herieth Bujiku akizungumza na wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania mara baada ya kukutana nao hivi karibuni Jijini Mwanza

Wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakipata Chakula mara baada ya kukutana na Uongozi wa Benki hiyo hivi karibuni Jijini Mwanza .

Share To:

Adery Masta

Post A Comment: