
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashari ya Jiji la Arusha kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wakimsikiliza Wazirii Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Kituo cha Mikutano cha Arusha (AICC) jijini Arusha
Post A Comment: