Na Mwandishi Wetu.
Kampuni ya Tigo Tanzania , katika kuendeleza kampeni ya Tigo Green For Kili , Leo April 1, 2022 kwa kushirikiana na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro imefanya zoezi la kupanda miti katika eneo la Sadala ( Moshi ) na kutoa wito kwa Wananchi kuhakikisha mwezi huu wanapanda miti ya kutosha ili kulinda na kutunza Mazingira.
Post A Comment: