Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera na Uratibu, Mhe. George Simbachawene, baada ya kumtembelea kwa lengo la kujitambulisha kwake katika Ofisi ya Spika iliyopo Bungeni Jijini Dodoma leo April 4, 2022.


Share To:

Post A Comment: