Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa Utamadini na Michezo Dkt. Hassani Abas amewapongeza viongozi, Mshabiki na Wachezaji wa klabu ya wekundu wa msimbazi Simba kwa kuingia Hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika.


Dkt. Abas ameyasema hayo leo Aprili 4, 2022 jijini Dodoma wakati alipokutana na maafisa utamaduni na michezo Tanzania Bara kabla kuelekea Kikao kazi cha maafisa Utamaduni na michezo Nchini kitakachofanyika kesho Aprili 5, 2022 jijini humo ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu

Share To:

Post A Comment: