Watu ambao idadi yao haijafahamika wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Sindeni Wilayani Handeni Mkoani Tanga, usiku wa kuamkia leo Jumatano Machi 16, 2022
-
Mkuu wa Wilaya ya Handeni (DC), Siriel Mchembe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema idadi kamili ya vifo na majeruhi bado haijafahamika
-
Taarifa za awali zinaeleza Toyota Hiace ilipasuka tairi na kupotea njia, na baada ya hapo wananchi walijitokeza kuangalia ajali, ikatokea Toyota Coaster na kuwagonga
#JamiiForums
Post A Comment: