Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa TUGHE, tawi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Kamugisha Lufulenge
Mwenyekiti wa TUGHE, tawi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Kamugisha Lufulenge akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha kujadili taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2021/22 na Makadirio ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2022/23 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Home
Unlabelled
UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2021/22 NA MAKADIRIO YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2022/23
Post A Comment: