Mkuu wa Mkoa Singida Dk. Binilith Mahenge akizungumza wakati akifungua mkutano wa wadau wa kujadili fursa za mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) mkoani hapa leo. Kushoto ni Olivier Foulonneau kutoka East African Crude Oil Pipiline na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba ambaye bomba hilo litapita kwenye wilaya yake.
Olivier Foulonneau kutoka East African Crude Oil Pipiline akizungumza kwenye mkutano huo.
Afisa Habari kutoka Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC ) Beatrice Peter akitoa taarifa ya mradi huo. Nathalie Bou akizungumzia fursa zitakazo patikana wakati wa utekelezaji wa mradi huo.
Mratibu wa masuala ya uhusiano wa Jamii Shaban Kimaro akichangia jambo kwenye mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Sngida Dk.Binilith Mahenge.
Wakuu wa Wilaya ambao utapita mradi huo, Mhandisi Paskas Muragili (Singida Mjini) na Sophia Kizigo (Mkalama) wakiteta jambo wakati wa mkutano huo.
Neema Mwakatobe kutoka Baraza la Uwezeshaji Tanzania (NEEC) akielezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na baraza hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda na Mkuu wa Wilaya ya Singida Mjini Mhandisi Paskas Muragili (kulia) wakiwa kwenye mkutano huo.
Mhandisi Mhina Kihondo kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) akizungumza kwenye mkutano huo.Mwakilishi kutoka Kampuni ya enquiris @ eals.co.tz akizungumza kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara Mkoa wa Singida, Kitila Katala akizungumza kwenye mkutano huo.Mkurugenzi wa Redio Standard FM yaSingida James Daud akichangia jambo kwenye mkutano huo.
Mfanyabiashara Mussa Madadi akiuliza swali.
Mkutano ukiendelea.
Mkutano ukiendelea
Wadau wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Asia Mesos akiwa kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama, Sophia Kizigo akiwa kwenye mkutano huo.
Mfanyabiashara Bula Remy akichangia jambo kwenye mkutano huo.
Mfanyabiashara na mkulima Geofrey Kingu akizungumzia fursa zitakazo patikana kupitia mradi huo.
Martha Makoi- Local Content akiungumzia jinsi wawekezaji wakubwa, wa kati na wadogo watakavyofanya kazi kwa kushirikiana wakati wa utekelezaji wamradi huo..
Wadau wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Post A Comment: