Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakisikiliza maelezo ya jinsi ‘Flow meter’ inavyofanya kazi kutoka kwa opareta wa kipimo hicho, Ndg. Benjamini Kisaki, wajumbe hao wametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga.

Mkurugenzi wa Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Eric Hamis  akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) maboresho mbalimbali yanayofanyika wa katika Bandari ya Tanga wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo.



Share To:

Post A Comment: