FARU RAJABU MTOTO WA FARU JOHN AFARIKI MSUMBA on March 21, 2022 TANZIA, Faru Rajabu enzi akiwa haiFaru Rabaju amefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na miaka 43. Faru Rajabu ni mtoto wa Faru John ambaye naye alifariki mwaka 2015.Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post MSUMBA View Profile
Post A Comment: