Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara tawi la Mbeya kwenye eneo la Iganzo Jijini Mbeya. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Chuo hicho, Novemba 30, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya , Juma Homela kuhusu ujezi wa vibanda na miundombinu mingine katika eneo jipya la wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kwa jina la Machinga la uwanja wa ndege wa zamani wa Mbeya wakati alipotembelea eneo hilo jijini Mbeya, Novemba 30, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kibanda nambari moja kikiwakilisha vibanda vingine vingi vya wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kwa jina la Machinga wakati alipotembelea eneo jipya la wafanyabiashara hao lililoanzishwa na Jiji la Mbeya kwenye Uwanja wa ndege wa zamani wa Mbeya, Novemba 30, 2021.
Post A Comment: