Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini na tatu (233) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili;
1.MHANDISI II UJENZI (HIGHWAY) – NAFASI 07 .
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa
wahitimu wa kidato cha Nne/Sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi walioojiimarisha katika
Ujenzi wa Barabara (Bachelor of Science in Civil Engeneering –
Highway) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
2.MHANDISI II UJENZI (STRUCTURAL) - NAFASI 134 .
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa
wahitimu wa kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi waliojiimarisha katika
Miundombinu na Uimara wa Majengo (Bachelor of Science in Civil
Engeneering - Structural) kutoka
katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
3.MHANDISI II (UMEME) - NAFASI 09 .
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa
wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Umeme (Bachelor of Science in
Electrical Engeneering) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na
Serikali.
4. MHANDISI II UJENZI (BUILDING) - NAFASI 83
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa
wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/
Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi waliojiimarisha katika
ujenzi wa Majengo (Bachelor of Science in Civil Engeneering - Building)
kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
👉Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
👉Kupata nafasi mbalimbali za kazi Serikalini na mashirika binafsi <<BOFYA HAPA>>
Post A Comment: