Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF ) Mkoa
wa Kinondoni , Innocent Mauki (kushoto) akitoa maelezo kwa wananchi
waliotembelea Banda la Mfuko huo namna ya kujaza fomu leo katika
maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika
kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa mkoa wa
Dar es Salaam.
Maafisa
Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) wakiwa wanendelea na kazi ya
kusajili wananchi wanaojitokeza kupata huduma ya bima ya Afya katika maonesho
ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye
viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa mkoa wa Dar es
Salaam.
Wananchi wakiendelea kupata huduma ya Bima ya Afya katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo katika maonesho
ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye
viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa mkoa wa Dar es
Salaam.
Post A Comment: