Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akitelemka kwenye gari
maalum la kubebea Watalii wa ndani wakati wanapotembelea vivutio vya
utalii katika Hifadhi za wanyamapori lililokuwepo kwenye kwenye maonesho
wakati wa mashindano ya mbio za Utalii Marathon Arusha yaliyofanyika
jana Jijini Arusha yaliyolenga kuhamasisha Utalii wa ndani has katika
kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19 uliotiokisa sekta ya utalii ulimwenguni
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akikabidhiwa zawadi ya
picha ya twiga ilichorwa kwenye ubao kwa kutumia moto na Msanii Andrea
Mwakabale aliyeshiriki kwenye maonesho wakati wa mashindano ya mbio za
Utalii Marathon Arusha yaliyofanyika jana Jijini Arusha yaliyolenga
kuhamasisha Utalii wa ndani has katika kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19
uliotiokisa sekta ya utalii ulimwenguni, kushoto ni Mbunge wa Singida
Mashariki, Mhe. Miraji Mtaturu
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akikimbia mbio za urefu wa
kilomita tano wakati wa mashindano ya mbio za Utalii Marathon Arusha
yaliyofanyika jana Jijini Arusha yaliyolenga kuhamasisha Utalii wa
ndani has katika kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19 uliotiokisa sekta ya
utalii ulimwenguni, wa pili kushoto ni Mbunge wa Singida Mashariki na
wa pili kulia ni mmoja wa Waandaji wa Mashindano hayo, Samuel Diah.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wananchi
kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini baadala ya kuona vivutio
hivyo vipo kwa ajili ya wageni pekee Ameyasema hayo wakati alipokuwa
akizungumza na Washiriki wa mashindano ya mbio za Utalii Marathon Arusha
yaliyofanyika jana Jijini Arusha yaliyolenga kuhamasisha Utalii wa
ndani has katika kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19 uliotiokisa sekta ya
utalii ulimwenguni.
Amesema Serikali imejipanga kuhakikisha
inahamasisha utalii wa ndani kupitia michezo mbalimbali ili wananchi
waanze utamaduni wa kutembelea vivutio vya utalii tulivyojaliwa
nao.”Vivutio vya Utalii tulivyonanvyo ni vyetu sote tembeleeni muone
uzuri na upekee wa vivutio vilivyopo nchini.
Katika hatu nyingine,
Waziri Dkt. Ndumbaro ametoa wito kwa wadau wengine wa Utalii kuanzisha
matukio MENGINE y a michezo itakayohamasisha watalii kutembelea vivutio
vya utalii vilivyopo nchini.
Amesema michezo imkuwa ikipendwa na watu mbalimbali ndani na nje ya nchi hali itakayosaidia kuchochea utamaduni wa watu mbalimbali kutembelea viv ui hivyo Akizungumza wakati hafla hiyo ya utoaji wa zawadi kwa washindi Mbio za Mashindano, amesema ya utalii inataka kubadilsha mtazamo ili watu wengi waweze kujifunza zaidi Dkt. Ndumbaro Dt, Ndumbaro aemezitaka sekta binafsi kuhakikisha zinawekeza hasa katika kipindi hikiambachp sekta ya utalii nchii imetikiswa kwa kiasi kikubwa Dkt, Ndumbaro amesema watali wa ndani hususani sekta ya utalii ni watu muhimu sana kwa vile kazia binafsi ni kuchakata hoja na kutoa maoni
Post A Comment: